Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 7. Mungu aliamuru nini?

J. Mungu, kwa shauri la mapenzi yake mwenyewe, kwa utukufu wake mwenyewe, aliamuru na kuweka milele yote yanayotokea kwa wakati.
  • Zaburi 33:11.
  • Isaya 14:24.
  • Matendo 2:23.
  • Waefeso 1:11-12.