Sw. 54. Amri ya tatu inadai nini?
J. Amri ya tatu inadai kutumia kwa utakatifu na kwa staha majina, vyeo, sifa, maagizo, neno na kazi za Mungu.
- Kumbukumbu la Torati 10:20.
- Zaburi 29:2.
- Mathayo 6:9.
- 1 Mambo ya Nyakati 29:10-13.
- Ufunuo 15:3-4.
- Matendo 2:42.
- 1 Wakorintho 11:27-28.
- Zaburi 138:2.
- Ufunuo 22:18-19.
- Zaburi 107:21-22.
- Ufunuo 4:11.